Jina Iringa lilitokana na neno la Kihehe Lilinga ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lilinga sehemu hii ilipo Iringa ya sasa, ilikuweza kuwaona maadui kwa urahisi na kuweza kutoa taarifa za kulinda Ikulu iliyokuweko Kalenga. Wajerumani walijenga Boma juu ya kilima hicho hicho baada ya ushindi uliopatikana baada ya kupigana na Wahehe kwa mara ya pili. Katika pambano la kwanza Wajerumani chini ya Von Zelewiski waliuwawa wote akabakizwa mmoja akatoe taarifa kuwa Uheheni kuna wanaume. Vita hiyo ilipigwa eneo la Lugalo mpaka Lundamatwe Kaburi la Zelewiski liko pale Lugalo. Kuboma ni jina walilotumia Wahehe kupaita pale ambapo Wajerumani walijenga Boma lao. Blog hii ni sehemu ya kukutania kuelezana matamu na machungu ya Iringa kwa wakazi wa Iringa walioko na ambao waliwahi kuweko hapa. Blog hii itatupa nafasi ya kukutana kuelezana na kukumbushana yaliyotukuta katika kukutana na mji huu uliopo juu ya kilima . Karibuni.

Wednesday, October 3, 2012

WAZEE MAARUFU WALIOIJENGA KIHESA
-->
 1. MZEE JUMBE OMARY
 2. MZEE LOTTI LUPEMBE
 3. MZEE ZABRON KIPANDULE MWANYATO
 4. MZEE PHOLIPO SAWANI
 5. MZEE RUBEN NYARUSI
 6. MZEE ANDREW MKOCHA
 7. MZEE METUSALA SINZIA MWAMOTTO
 8. MZEE NIKOLAI CHAWE
 9. MZEE PESAMBILI RAIS
 10. MZEE JUMANNE MWANDAMIZI
 11. MZEE JIMMY MWAMBAGO
 12. MZEE CAPRO MAHANJAM MDEGELA
 13. MZEE JOHN MAUYA
 14. MZEE FEDRICK KIHADE
 15. MZEE SHEM MAINGARA
 16. MZEE VICENT MSEMWA MFARANYAKI
 17. MZEE LUBAFU LWASOMBA
 18. MZEE ELEUTEL KIMILIKE
 19. MZEE RUPI SABA MKUSA
 20. MZEE GARUS KING'UNZA
 21. MZEE GARUS MWANYAKUNGA
 22. MZEE JAMES CHOMI
 23. MZEE WILLIAM MNG'ONG'O
 24. MZEE MATHAYO MNG'ONG'O
 25. MZEE METUSALA MNG'ONG'O
 26. MZEE PETER MSILU
 27. MZEE EDWARD MMASI
 28. MZEE GEORGE SAWALA
 29. MZEE LUCAS MKUSA
 30. MZEE MUSSA MWACHANG'A
 31. MZEE AUGUSTINO MWACHANG'A
 32. MZEE EMMANUEL MWACHANG'A
 33. MZEE MARTIN MLOWE
 34. MZEE JOHN NZALI BALANCE
 35. MZEE MKINGA SAFI MBILINYI
 36. MZEE AMOSI MPOGOLE
 37. MZEE SAID KITENGE
 38. SHEKHE MDOKA MAULID
 39. SHEKHE SAID KALELA
 40. SHEKHE SAID WANGUVU
 41. MAMA DIANA MAGRETH
 42. MZEE MPOGOLE (BABA SAREHE)
 43. MZEE ALEX SANGA
 44. MZEE ISAYA KAGAHE
 45. MZEE SAMSON NYATO
 46. MZEE SAMWEL KINYUNYU
 47. MZEE MALIO  MSILU
 48. MZEE HAMISI KINGENG'ENA
 49. MZEE NGAIRO( BABA STIVIN)
 50. MZEE KUDINGWA MAPUNDA
 51. MZEE FRANSIS KITIME
 52. MZEE LAMEKI TUMBUKA
 53. MZEE IBRAHIM MWIBARAMA
 54. MZEE KALYIEMBE ( BABA ANYWELWISE)
 55. MZEE SIXMUND MOLAMOLA
 56. MZEE JOSEPH KASUMRI SANGA
 57. MZEE  MKULU EZEKIA
 58. MZEE  CHODOTA (BABA ELIABI)
 59. MZEE MTEVELA (BABA FOIDA)
 60. MZEE OBADIA NGOGO
 61. MZEE PETER NGWIVAHA
 62. MZEE EDWARD MAKWETA
 63. MZEE ADAMU KAPUNGU
 64. MZEE ELIEZA MNG'ONG'O
 65. MZEE EDSON MWAMWANI
 66. MZEE JOHN LUSUNDE
 67. MZEE ZABRON KINYAMAGOHA
 68. MZEE EPHRANI KILATU
 69. MZEE SALUM NYENZI
 70. MZEE ADAM SAJIO KADUMA
 71. MZEE JONASI MGENI
 72. MZEE ZAKARIA CHUWA
 73. MZEE MAIGE MACHIBYA
 74. MZEE KUFAKUNOGA MAHAMODU
 75. MZEE PETER LUPEMBE
 76. MZEE LINGWENDU SANGA
 77. MZEE JOHN KANYWENDA 
 78. MZEE MARTINE MWAMBILINGE
 79. MZEE AMRAN MDEMU
 80. MZEE HENRY NYANYEMBE
 81. MZEE JOHN LUHANGA
 82. ZABRONI LUVINGA
 83. MZEE ALI MDUBA
 84. MZEE MARKO MFUGALE
 85. MZEE ALFREDY MBATA
 86. MZEE JOHN GILIKI
 87. MZEE JOHN EJO
 88. MZEE GALAHENGA BEATUSI
 89. MZEE MDENDEMI
 90. MZEE MWANYWAEGE
 91. MZEE DANIEL LUGENGE
 92. MZEE KIDUNU
 93. MZEE MNG'ONGO'
 94. MZEE MBILINYI
 95. MZEE MWANANGUNULE
 96. MZEE KANDANDA
 97. MZEE TITIKOO
 98. MZEE SALUM MDEGIPARA
 99. MZEE FUNGO
 100. MZEE MGOMBELE
 101. MZEE NZELU
 102. MZEE KIDULILE
 103. MZEE MBIFILE
 104. MZEE ELIAS SANGA
 105. MZEE NGWALE
 106. MZEE  MARTIN KIDUKO
 107. MZEE KIWELE
 108. MZEE MWITA
 109. MAMA GIFT
 110.  MZEE NGALAWA (BABA MWAMBA)
 111. MZEE DICKS DISUZA
 112. MZEE MAGAVA
 113. MZEE FARAHANI
 114. MZEE BENARD MBIGILI
 115. MZEE POYO
 116. MZEE MNYAMWANI
 117. MZEE KAPANDE
 118. MZEE MWALIWELO
 119. MZEE MALILA
 120. MZEE CHENGULA
 121. MZEE FURAHISHA
 122. MZEE  WILILO (BABA ROBERT)
 123. MZEE MASENYA
 124. MZEE BABA HILDA
 125. MZEE MASHAKA WILLBAKI
 126. MZEE KIKOSI JUMA MASOUD
 127. MZEE COSMAS MDESA
 128. MZEE MLIMBILA
 129. MZEE MBOMBWE
 130. MZEE SOSTEN KYANDO
 131. MZEE NDITI 
 132. MZEE BABA MAYASA
 133. MZEE WEEK END
 134. MZEE LUGENGE
 135. MZEE LUGALA
 136. MZEE MWANG'INGO
 137. MZEE ODO
 138. MZEE RUNYASI
 139. MZEE SEKAHANGA
 140. MZEE MFIKWA
 141. MZEE AMBROS MWANGWADA
 142. MZEE KIWONAOMELA
 143. MAMA SAMAMBA
 144. MZEE LUCHABIKO KAPUGI
 145. MCHUGAJI CHUSI
 146.  MZEE MACHILINA
 147. MAMA SEMPOGOLE
 148. MAMA GEORGE KUMBEMBA  MWAKIMBENGONDO MGODAGWIVAHA MUNYIDUNDA
 149. MZEE SAMUEL BWANANGONDO M.M MWAKIMBE
                                                         
                               
NB: KUNA WAZEE WASIOPUNGUA 200 WALIO IJENGA KIHESA TUTAENDELEE KUSAIDIANA KUWAKUMBUKA KAMA MAJINA YAO HAYAPO HAPA
                                    KATIKA MAANDALIZI YA SIKU YA WANA KIHESA TUTAKUWA TUNAWACHAMBUA WASIFU WA WAZEE HAWA.
                                IMETAYARISHWA NA ROBERT MWANYATO: MRATIBU WA TAMASHA LA WANA KIHESA

2 comments:

 1. Katika hii Orodha waongezwe hawa: Mzee Mtwivila, Fabian, Bibi Semtema, Mzee Lwaho, Victo Mwibalama, Mzee Mwambua (Baba Mussa), Mzee Ally Ngimba, Edward Wissa, Mgeni (Baba Jenifa), Kavilwa (Mourise), Msigomba, Balama (Baba Vero), Balama (mnyakilabu), Kibassa (Baba John), King Miking Kibassa (Babu yangu), Mzee Ng'owo, Ngogo (Mwanji), Tenga's wote (kuanzia Ngimonyi hadi wengine), Kalinga (Baba Moses), Nyalusi (Baba Mercy wa Timber), Mgeni (MZALENDO), Kigahe, G.G. Shambe, John Mbegalo, Gwegime (watoto wake hadi leo machampion), Sambala (Baba Marcelino), Mzee Luhanga (Baba yake Mwanyenza), Mzee Cheka (Baba ya Cheka Club Semtema), Mzee Gohage (Babu Fredy), Mzee James (Baba Baldo), Mwanzo Mgumu (Chao), Abel Lulandala (Baba Aidan), Fivawo, Mzee Kisonga. Pia orodha bado ni ndefu sana. Ili kupata simulizi nzuri watafutwe watoto wao maana wapo!

  ReplyDelete
 2. Mzee Charles Kipangula -naona mmemsahau baba angu,majiran zake wote wapo.

  ReplyDelete