Pages

Tuesday, December 4, 2012

Sunday, December 2, 2012

KIHESA DAY 3-WAZEE WA KIHESA WAPEWA TUZO

-->
Katika mambo muhimu yaliyofanyika katika siku ya Kihesa ni kutoa tuzo kwa wazee ambao kwa namna moja au nyingine waliifanya Kihesa iwe ilivyo leo. Mgeni wa Heshima na mwana Kihesa Raymond Peter Mbilinyi (Mkurugenzi TIC) alitoa Tuzo hizo za heshima;
WAZEE  KUMI WA KIHESA WALIOPEWA TUZO KATIKA SIKU YA  KIHESA (KIHESA DAY)
1.     Marehemu Mzee Jumbe Omary Mwambuma –(Muwakilishi) Obed Abdallah Jumbe Omary
2.     Marehemu Mzee Lupembe Mgopinyi-(Muwakilishi) Joseph Lotti Lupembe
3.     Mzee Lucas Vigungula Mtumbuka
4.     Marehemu Mzee Emmanuel Abraham Mwachang’a-(Muwakilishi) Sinai Emmanuel Mwachang’a
5.     Marehemu Mzee Philipo Sawani Pilla (mwakilishi) Cain Mathew Sawani
6.     Marehemu Mzee Anderson Zabron Mwanyato (Mwakilishi ) Lillian Anderson Senyatto
7.     Mr Seth Metusela Mwamotto
8.     Profesa Jailos Amos Matovelo Mwampogole( Mwakilishi) George Kimbe
9.     Marehemu Norbert Zul (Mwakilishi) Julieth Zulu
10.  Benedict Kimbisa

WAZEE WANNE WAWAKILISHI WA WAZEE WOTE KIHESA
1.     Marehemu Bernard Mtarusto Mbigili (Mwakilishi) Fredyy Bernard Mbigili
2.     Elizabeth Semsamba Kihahe (Mwakilishi) Libe Semsamba
3.      John Mauya Kihade (Mwakilishi) Emmanuel Minila Mahingila
4.     Margreth Nyagawa (Mwakilishi) mama Diana









Mzee Lucas Mtumbuka



KIHESA DAY 2- SIKU YA KUKUTANA WALIOPOTEANA


Kihesa Day Yafana



















Kihesa Day ilikuwa siku ya kukutana watu waliopoteana miaka mingi, kujuliana hali kuonyeshana watoto na wajukuu hebu angalia picha hizi uwakumbuke nawe uliosoma nao na kucheza nao

STAT COUNTER