Tuesday, December 4, 2012
Sunday, December 2, 2012
KIHESA DAY 3-WAZEE WA KIHESA WAPEWA TUZO
-->
Katika mambo muhimu yaliyofanyika katika siku ya Kihesa ni kutoa tuzo kwa wazee ambao kwa namna moja au nyingine waliifanya Kihesa iwe ilivyo leo. Mgeni wa Heshima na mwana Kihesa Raymond Peter Mbilinyi (Mkurugenzi TIC) alitoa Tuzo hizo za heshima;
WAZEE KUMI WA
KIHESA WALIOPEWA TUZO KATIKA SIKU YA
KIHESA (KIHESA DAY)
1.
Marehemu Mzee Jumbe Omary Mwambuma –(Muwakilishi)
Obed Abdallah Jumbe Omary
2.
Marehemu Mzee Lupembe Mgopinyi-(Muwakilishi)
Joseph Lotti Lupembe
3. Mzee Lucas Vigungula Mtumbuka
4.
Marehemu Mzee Emmanuel Abraham Mwachang’a-(Muwakilishi)
Sinai Emmanuel Mwachang’a
5.
Marehemu Mzee Philipo Sawani Pilla (mwakilishi)
Cain Mathew Sawani
6.
Marehemu Mzee Anderson Zabron Mwanyato
(Mwakilishi ) Lillian Anderson Senyatto
7.
Mr Seth Metusela Mwamotto
8.
Profesa Jailos Amos Matovelo Mwampogole(
Mwakilishi) George Kimbe
9.
Marehemu Norbert Zul (Mwakilishi) Julieth Zulu
10. Benedict Kimbisa
WAZEE WANNE WAWAKILISHI WA WAZEE
WOTE KIHESA
1.
Marehemu Bernard Mtarusto Mbigili (Mwakilishi)
Fredyy Bernard Mbigili
2.
Elizabeth Semsamba Kihahe (Mwakilishi) Libe
Semsamba
3.
John Mauya Kihade (Mwakilishi) Emmanuel Minila Mahingila
4.
Margreth Nyagawa (Mwakilishi) mama Diana
Mzee Lucas Mtumbuka |
KIHESA DAY 2- SIKU YA KUKUTANA WALIOPOTEANA
Kihesa Day Yafana
Kihesa Day ilikuwa siku ya kukutana watu waliopoteana miaka
mingi, kujuliana hali kuonyeshana watoto na wajukuu hebu angalia picha hizi uwakumbuke
nawe uliosoma nao na kucheza nao
MATUKIO KIHESA DAY 1
Mkunungu |
Baada ya matayarisho ya siku ya Wanakihesa kwa miezi kadhaa , hatimae ndoto ya Wanakihesa
ilitimia kwa siku hiyo kuweko na mamia ya wanaKihesa na wanaIringa kwa ujumla
kujitokeza katika siku hii iliyojaa furaha, na kumbukumbu nyingi. Kama ilivyokuwa
imepangwa katika vikao vya awali siku ya Wanakihesa ilikuwa ni siku ya wahusika
kuonyesha shughuli zao mbalimbali katika siku hii. Hivyo basi wapishi walipika
chakula na kuuza, wabunifu walileta vifaa vyao zikiwemo nguo na mapambo ya
asili, watengenezaji wa sabuni walileta mali zao, kulikuweko na walioleta
vyakula kama bagia za Iringa ambazo ziliisha mapema sana kama ilivyoisha mikusu
na matundadamu, na mkunungu. Picha zifuatazo zilionyesha kazi mbalimbali za
wajasilia mali wa Kihesa wakiwemo, book publishers waliokuja kuonyesha vitabu
vya aina mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)