tag:blogger.com,1999:blog-3475661487477240220.post5053226206307236828..comments2023-11-27T23:41:26.243-08:00Comments on HISTORIA YA UHEHE: Hapo zamani za kaleUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3475661487477240220.post-24136633788346198072011-03-09T12:43:02.802-08:002011-03-09T12:43:02.802-08:00Nimefurahi sana kuiona picha ya bweni nililokuwa n...Nimefurahi sana kuiona picha ya bweni nililokuwa naishi. Mimi nilisoma Lugalo nikitokea Ilala primary school na nilikuwa nakaa Mkwawa(Makanyagio). Nakumbuka tulikuwa tunapita mlimani kila siku kabla sijahamishiwa bording baba yangu alivyohamia Mbeya kikazi. Sijasoma siku nyingi, wababe wetu hapi Iringa walikuwa akina Cool nine (Najua Kaka John unamjua vilivyo), pamoja na wadogo zake.<br /> Kweli "Sa nzusa miluka kukaye"Unknownhttps://www.blogger.com/profile/02242073487281987692noreply@blogger.com